
Showing posts with label BIN ZUBEIRY. Show all posts
Showing posts with label BIN ZUBEIRY. Show all posts
Thursday, April 03, 2025

IMERIPOTIWA na kuthibitishwa, Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Ally Shaaban Kamwe alikamatwa jana baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania...
Thursday, May 18, 2023
HONGERA YOUNG AFRICANS, MMEIPAISHA JUU SOKA YA TANZANIA
Thursday, May 18, 2023
TIMU ya Yanga SC ya Tanzania imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-1 jana dhidi ya wenyeji, M...
Thursday, May 11, 2023
HONGERA YANGA SC, KILA LA HERI KWENYE MCHEZO WA MARUDIANO
Thursday, May 11, 2023
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC jana walibisha hodi Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Marumo Gallants ya...
Wednesday, May 03, 2023
HONGERA YANGA, TUNATARAJIA KOMBE LA KWANZA LA AFRIKA TANZANIA
Wednesday, May 03, 2023
MABINGWA wa Tanzania, hatimaye wameweka historia ya kufika Nusu Fainali ya michuano ya klabu Afrika baada ya kuitoa Rivers United ya Nigeria...
Wednesday, April 26, 2023
NA IKAWE WIKIENDI YA KIHISTORIA KATIKA SOKA YA TANZANIA
Wednesday, April 26, 2023
WIKIENDI hii Tanzania itawania kupeleka timu mbili kwenye Nusu Fainali za michuano ya klabu Afrika kwa mara ya kwanza kihistora, wakati Simb...
Wednesday, April 19, 2023
INONGA NA MAYELE, LADHA MPYA MECHI YA WATANI WA JADI
Wednesday, April 19, 2023
LINAPOWADIA pambano la watani wa jadi katika soka ya Tanzania hivi sasa gumzo kubwa ni wachezaji wawili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Wednesday, March 29, 2023
SI MUDA WA KULAUMIANA, TUJIPANGE KWA MECHI ZIJAZO
Wednesday, March 29, 2023
TANZANIA jana imejiweka pagumu tena kwenye mchuano wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kucha...
Wednesday, March 22, 2023
HII NDIYO MAANA HALISI YA KLABU KUJIENDESHA KIBIASHARA
Wednesday, March 22, 2023
MARA tu baada ya kufanikiwa kufuzu Hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Desemba mwaka jana, klabu ya Yanga iliingia mkataba na kam...
Tuesday, January 24, 2023
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA NGADE CHABANGA DYAMWALE
Tuesday, January 24, 2023
Tuesday, November 23, 2021
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA HUSSEIN BALLO
Tuesday, November 23, 2021
Saturday, September 18, 2021
ALHAJ MUHIDDIN NDOLANGA AFARIKI DUNIA
Saturday, September 18, 2021
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho, TFF, kuazia 1992 hadi 2004, Alhaj Muhiddin Ahmed Ndolanga amefa...
Tuesday, January 05, 2021
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA HAJJI MATUMLA KATIKA SPORTS AM
Tuesday, January 05, 2021
Monday, January 13, 2020
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA ALLY SAMATTA PAZI
Monday, January 13, 2020
Saturday, January 11, 2020
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA FELIX KAZUNGU, MCHEZAJI WA ZAMANI WA MILAMBO
Saturday, January 11, 2020
Sunday, October 20, 2019
2019 UTAKUMBUKWA DAIMA KATIKA HISTORIA YA SOKA YA TANZANIA
Sunday, October 20, 2019
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM 2019 unaingia kwenye orodha ya miaka ya kutosahaulika katika historia ya soka ya Tanzania baada ya Taifa...
Sunday, June 30, 2019
SIASA NA ITIKADI ZAKE VISIRUHUSIWE SANA KUINGILIA KWENYE MICHEZO
Sunday, June 30, 2019
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kwenye mchezo wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 dhidi...
Sunday, June 02, 2019
HONGERA SIMBA SC, AZAM FC SASA JIPANGENI MICHUANO YA AFRIKA
Sunday, June 02, 2019
MSIMU wa michuano ya nyumbani Tanzania umekamilika jana kwa timu ya Azam FC kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), m...
Sunday, April 21, 2019
SERENGETI BOYS KAMA HAIKUWA NA MAANDALIZI AU BENCHI LA UFUNDI
Sunday, April 21, 2019
WENYEJI, Tanzania wametolewa kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 kwa kupoteza mechi zote tatu...
Sunday, April 14, 2019
HONGERA SIMBA SC, KAFANYIENI KAZI MAPUNGUFU YALIYOONEKANA
Sunday, April 14, 2019
SAFARI ya Simba SC katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilifikia tamati jana baada ya kuchapwa mabao 4-1 na wenyeji, Tout Puissant Mazembe katika...
Sunday, April 07, 2019
MILANGO YA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA IPO WAZI KWA SIMBA
Sunday, April 07, 2019
TIMU ya SIMBA SC jana imelazimishwa sare ya 0-0 na Tout Puissant Mazembe katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
Subscribe to:
Posts (Atom)